Psalms 25:15

15 aMacho yangu humwelekea Bwana daima,
kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa
miguu yangu kutoka mtego.
Copyright information for SwhNEN